Mwanariadha wa Marekani Alysia Montano amekimbia mbio mita 800 na
ujauzito wa wiki 34 na kuwashangaza watu wengi kwa ujasiri huo.
Bingwa huyo mara tano wa mbio za Taifa Marekani alikimbia mbio hizo jana katika uwanja wa Hornet huko Sacramento, California na kumaliza wa mwisho akitumia muda wa dakika mbili.

sos-mbeya fm
0 comments:
Post a Comment