Thursday, 26 June 2014

  UKITUMIA NEMBO HII BILA MAKUBADILIANO NA DIAMOND PLATNUMZ UTANYEA DEBE
Diamond Platnumz akiongea kwenye Radio Times FM alipoulizwa swali kuhusu picha zake kuenea kwenye baadhi ya t-shirt mitaa kadhaa nchini tanzania kama ni mradi wake,
ndipo alipo jibu kuwa sifaidika na chochote ila siwezi kuzuia nachofanya ni kutoa T- shirt Original zaidi ya zile zilizoenea.

akuishia apo akasema pia hata kwa yule anaehitaji kutumia picha ya sura yangu iwe saloon, dukani kwenye maeneo tofauti sina tatizo, kwani siku zote tumezoea kuona picha za wasanii wa ulaya kwenye saloon na sehemu mbali mbali hata kwenye magari msiofie
ONYO- ila ametoa onyo kwa watakao tumia nembo ya W C B itakula kwake

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS