sababu ya kupinduka basi mali ya kapuni ya Samgela ni kulitokana na taili ya mbele kuchomoka ni la kulia na kusababisha kupinduka na kusababisha kifo cha dereva na majeruhi kadhaa wapo walio kapelekwa dodoma hospital na wengine kupatiwa matibabu katika hospital ya gailo mungu aulaze mwili wa marehemu mahali pema peponi ameeni
Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili
kuwepo kwenye blogg yetu makini
yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote
piga simu kwa chochote muhimu
namba zipo apo juu
0 comments:
Post a Comment