Thursday, 1 May 2014

 
Gailo
Basi la kampuni ya Samgela lenye safari zake Dar ,Dodoma Mvumi

limepinduka leo mida ya saa 5 ya asubuhi maeneo ya Gairo 
na kupelekea dereva kufa papo apo

chanzo cha ajali iyo bado akija julikana kilichopelekea gari ilo kupinduka

Kati ya ndugu wa majerui mmoja akiongea kwa njia ya simu amesikitishwa sana
na tuiko ilo, akizungumza asa mdogo wake ameumia sehemu ya mikono yote miwili

mpaka sasa idadi maalumu ya walio kufa aijajulikana tofauti na ile ya 
Kufariki dereva pekee na kati ya majerui wamepelekwa katika
hospital ya Gailo

tutawajulisha zaidi


0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS