TAHARIFA YA MAUWAJI NACHINGWEA
mauwaji ya kikatili yameibuka siku za ivi karibuni na kuwatia ofu wakazi wa Naipingo wilayani Nachingwea
mkoani Lindi ambako alhamisi iliyopita mwanamke mmoja likuwa amenyongwa
na kutupwa na jana tarehe 26 mwanamke mungine amekutwa amenyongwa
adi kufa Diwani wa kata ya Naipingo pamoja na
makamu mwenyekiti wa almashauli
wamethibitisha kutokea kwa matukiohayo;
watabolewa macho na kuwekwa vijiti kwenye sehemu zao za sili na kutupwa wakwanza alikutwa ccm mnadam
ametupwa.
wanajesi wawapiga askali wa polisi mjini nachingwea
wananchi wa Nachingwea waliaandamana kushinikiza polisi kuchunguza kwanini
kila kifo ni cha wanawake tena ni aina moja ya mauwaji
uku askali wakiwa wamehimalisha vyema ulinzi mjini hapa
muda wa saa sita usiku mwanamke mmoja akiwa anatoka kwenye mziki
muda wa saa saba usiku (01.00) akiwa anaingia kwenye
bajaji ndipo WANAJESHI WA TATU walipoanza kuifutillia ile bajaji kisha kuisimamisha
wakiwa wameisimamisha yule mwananmke walimtaka ashuke lakini mwanake akufanya ivyo
ndipo alipoanza kupiga kelele kuwa wale wananjeshi wanataka kumbaka na sio kutaka bajaji
kama wanavyodai
ndipo yule mwananmke alipopiga sim kuwajulisha polisi ambao teali walikuwa
wameshasambaa kila kona ya mji wa nachingwea
katika plukushani za wananjeshi kuto taka kwenda polisi pamoja na kuonyesha vitambulisho vyao
kuwa wao ni wananjeshi wanataka kuwai kambini
lakini illishindikana na kufikia hatua ya wanajeshi wale kufikishwa polisi
mkuu wa kituo cha polisi asubuhi alimpigia mkuu wa wale wanajeshi na kumwambia kuwa
kuna vijana wako wamekamatwa jana usiku
mkuu akaja kuwaoa vijana wale
BAADA YA KUTOKA PALE WANAJESHI
walipo toka pale wakaenda kujikusanya kwa mashambulizi zaidi
kinasema chanzo chetu, kuwa wanajeshi waliwapigia simu
wafanya biashara na kuwataka wasifungue maduka
wao wanaingia kota za polisi,
polisi wapigwa vibaya sana baadhi yao
wameumia vibaya
kwani mbinu waliyoitumia wananjeshi ni kuwa waliingia kota za polisi na kuingia kila nyumba kwa kutumia mlango wa nyuma wakikukuta ndani cha moto utakiona
habari zinasema sehemu kubwa ya wanajeshi wa maeneo yale upenda kuwa na mausioano na
wananchi wa kawaida kimapenzi

0 comments:
Post a Comment