Watu mbalimbali wameendelea kutoa pole kwa mume wa Rachel aitwae Saguda na kuonesha jinsi walivyoguswa na msiba huo.
“Sitaki kumkufur mwenyez Mungu wangu! Ila kazi yake haina makosa tulimpenda ila mwenyezi Mungu kampenda zaid! Dah inauma sana pole Saguda kwa mtihani uliokupata! Ila tupo pamoja kwa kipindi hiki kigumu.” Shilole ameandika kwenye Instagram.

MSANII WA BONGO MOVIE
Msanii Bongo movies 'Rachel' afariki! Msanii wa Bongo Movie,
Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari
zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema
kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya
kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi
ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
0 comments:
Post a Comment