Sio jina geni kwenye ulimwengu huu wa neno la mungu unaofikishwa kwa njia ya muziki wa injili dhaili kuwa ukitajiwa jina la Michael Joseph alitakuwa g eni kichwani kwako kwani ni mwanamuziki wa injili ambae nyimbo zake zimekuwa zikifanya vizuri sana kwenye vyombo mbali mbali vya habari hasa zile zinazorusha muziki wa injili iwe kwa siku za juma pili au siku zote za majuma ya wiki
Pichani ni muimbaji Michael Joseph
Michael Joseph muda mwingi uwa anapendelea sana kusoma vitabu na kusaliNazani pichani unaona moja ya picha ambazo MillanzyBlog ilifanikiwa kumfotoa ilipomkuta moja ya shughuli zake za kila siku Kariakoo jijini Dar
Michael Joseph pia ni mjasilia mali mbali na kufanya muziki wa Injili
Akielezea jambo na mwandishi wetu alipokuwa akizungumza nae mara tu baada ya kumtembelea dukani kuhusu utengenezaji wake wa video ambao kwa muda mrefu alikuwa akiandaa na ndipo anza kuelezea
Picha hii ni ya utengenezaji wa video ya wimbo wake wa kinga yangu ambao umefanikiwa kushika chati nyingi za vipindi vya nyimbo za injili nchini Tanzania ikiwemo Prais Pawa Radio
Michael Joseph kwenye moja ya utengenezaji wa video ya Kinga yangu |
Michael Joseph na waimbaji wenzake |
Michael Joseph na wenzake wakipata chakula |
Pichani ni muimbaji Michael kwenye picha zingine za utengenezaji wa video nyingine ya nishike mkono hapa akiwa na mama mchungaji wa kanisa analosali
Michael & Mama Mchungaji |
Video imeongozwa na muongozaji mzoefu wa aliyeongoza video ya Kinga yangu
Michael & Mama Mchungaji |
Michael Joseph & Mama Mchungaji |
Michael Joseph |
Michael Joseph |
Video hii ya Nishike mkono ni video ambazo zimeandaliwa kwa kiwango kikubwa kwani utakubaliana na mimi endapo video hii utafanikiwa kuiona kwani ni ya kiwango cha hali ya juu
Michael Joseph |
Michael Joseph |
Michael Joseph |
Albam tayari imekamilika na kwa sasa kinachonitatiza ni kuwa sina usimamizi wa kazi zangu (menejiment) lakini kila kitu kimekamilika upande wa Audio na sasa Navuta pumzi kwa kujiandaa kutoa video adi sasa naitaji usimamizi
Tuwasiliane +255 714 905 320
sms
Michael Joseph |
0 comments:
Post a Comment