![]() |
Kariakoo jijini Dar es salaam |
Ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi maeneo ya kariakoo barabara ya kutoka raundi abauti adi kuja faya ukiwa unatokea Ilala boma na uo ndiomwonekano wake mpya
Ukirudi nyuma kidogo unakuja Msimbazi ndiko kinapojengwa kituo cha magari ya kwenda Mbezi Kimara, Ubungo na kwingineko
Na ukienda mbele kidogo unafika kituo cha daradara cha zamani cha kwenda Mbagara,Temeke na Tandika, Mbagara KUU/Rangi 3
Sehemu zingine ambazo Kariakoo zitakuwa zimepata kituo maalumu cha usafiri ni pamoja na kituo cha magari ya kwenda Ubungo, Mbezi Kimara ,Tegeta
Kwaiyo wale wengine wataendelea kutumia njia zingine zitakazo ruhusiwa na mamlaka husika
0 comments:
Post a Comment