Friday, 29 May 2015

 Lil Wayne akiwa kwenye safari zake za kwenda kufanya shoo Atlanta Marekani gafla basi laki lilianza kushambuliwa kwa risasi
Kwa hali iyo ndipo Polisi ya Mji uo wa Antlanta walipoingilia kati na kuanza kubishana na mshambuliaji uyo ambae alifanikiwa kukimbia lakini amejuikana kwa jina la PeeWee Roscoe
Chanzo cha mashambulizi ayo ni befu kati ya Lil Wayne na Young Thug pichani apo

kwa uchache tu unaweza kupitia kauli yake mwenye Lil Wayne na Kauli ya Meneja wa Young Thug hapa
 http://millanzy.blogspot.com/2014/08/lil-wayne-afanya-jeuri-ya-kuwatoa.html


1 comment:

  1. Hivi huwa unasoma unachoandika kaka Chidi? kwa sababu habari zako zina makosa mengi ya kimaandishi, kwa mfano umeandika;
    1. "Anusulika" badala ya anusurika
    2. "Gafla" badala ya ghafla
    3. "Befu" badala ya bifu
    Pamoja na mengine kama "basi laki" badala ya basi lake.
    Una juhudi ya kuandika lakini inakupasa ufanyie kazi hayo pamoja na vichwa vya habari vya habari vya habari zako nyingine kwenye blog yako. Tumia kamusi ya kiswahili kama huna hakika na maneno unayoandika.
    Nimejitolea kukufahamisha udhaifu wako, kwa wasomaji wengine pengine watakudharau tu na hawatosoma habari zako tena.
    Jifunze namna ya kufanya blog yako iwe bora kupitia mtandao huu; Quicksprout.com

    ReplyDelete

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS