Wasanii wa Hip Hop barani Ulaya wamekuwa na matumizi makubwa ya feza kwa kununua
vitu vya thamani kubwa kama vile magari matoleo mapya , piki piki na vyombo vingine vya kiusafiri
Pichani ni piki piki zenye thamani ya dola za marekani 1975100 kwa kila moja
Pichani ni moja ya Fukwe inayomilikiwa na Boss wa Cash Money Bird Man
kama uonavyo kuna magari ya thamani kama Buggat ipo apo Aston Martin na mengine ambayo yanathamni ya feza nyingi za kimarekani
Kama uonavyo Pichana mwanamichezo akiwa kwenye moja ya michezo yake
akiwa na Piki piki ghali kweli kweli
Imekuwa ni kawaida sana kwa Watu maarufu balani Ulaya zaidi sana kwa wasanii wa Hip Hop wamekuwa
wakitumia vitu vya bei ghali sana na ndio sababu inapelekea kuwa watu wanaolipa kodi kwa kiwango kikubwa kutokana na kuwa na vitu ivyo vyenye thamani kubwa ambayo ushuru wake pia uwa ni mkubwa mala dufu
kwa leo tuishie hapa ila tu usisahau kujiunga nasi
facebook page millanzy.blogspot.com uta LIKE pale
pia to follow twitter millanzy.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment