Serikali ya Tripoli imeshindwa kudhibiti makundi yenye silaha
yaliyosaidia kuangushwa utawala wa dikteta Muammar Gaddafi, ambayo kwa
sasa yanapigana yenyewe kwa yenyewe. Kundi moja la wanamgambo
linalopinga serikali kutoka mji wa Misrata mwezi Julai lilidhibiti mji
mkuu Tripoli na kulazimisha Bunge kuhamia katika mji wa mashariki wa
Tobruk. Mwenyekiti wa Bunge la Wawakilishi la Libya amesema, haikubaliki
kufumbia jicho ugaidi nchini Libya na kwamba kushindwa kulisaidia jeshi
silaha na mafunzo ili kufanikisha vita dhidi ya ugaidi, ni kwa manufaa
ya makundi yenye kufurutu ada.
Sunday, 28 September 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment