kama uonavyo familia yangu ilinusurika kutokana na shambulio lilofanyika alfajiri ya leo(Ahmed al-Arqan, 54)
atujui hatma yetu mimi na familia kwani kama ni kushukuru kufungwa kwa hii shule nami kupata ifadhi ya familia yangu sijui ingekuwajeAhmed al-Arqan, 54
Walimu na wanafunzi wanahitaji angalau wiki tatu kabla ya kurejea shule," al-Arqan aliiambia Al Jazeera. "Mamlaka ya lazima pia kuondoa baadhi ya maeneo ya mtaala kwa kufanya hivyo nyepesi kwa ajili ya watoto.
mke wangu ni presha tupu watoto wangu wadogo kusoma tena akuna Ahmed al-Arqan, 54
vijana wangu wakiume wanajaribu kujisomea wenyewe kwenye madarasa haya lakini aisaidii kitu bila mwalimu(Ahmed al-Arqan, 54)
hapa kuna mwenzangu tunaishi kwenye shule hii watoto hawa wanashilikiana wa watoto wangu kujiliwaza(Ahmed al-Arqan, 54)
maisha yetu kwa sasa ndio haya hapa tunasubiria kufa tu kwani atuna msaada wa kiusalama kabisa Ahmed al-Arqan, 54
Ahmed al-Arqan, 54 AKIWA NA FAMILIA YAKE ambapo yeye na ndugu zake tano aliishi na familia zao katika mashariki Shujayea kitongoji cha Gaza City, alikuwa karibu kabisa kuharibiwa na Israel kombora risasi kutoka F16 warplane.
0 comments:
Post a Comment