Kikukwa alichosema zaidi ni kwamba yeye amekuwa akipenda kuimba toka akiwa mdogo
na hata kuamini kuwa siku moja mziki wa injili utamfikasha mbali
kwa wale wasio mjua Michael Joseph
Michael Joseph ni muimbaji mzuri wa nyimbo za Injili na kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la Kinga yangu ambao teali kwenye vituo kadhaa vya radio jijini Dar ikiwemo Prais Pawer Radio na hata kufanya iterviw mbali mbali ikiwemo hapa Millanzy Blog
kama bado ujaupata wimbo uo unaweza kudownlod na kusikiliza hapahapa http://hu.lk/hm9gd5v23wu8
0 comments:
Post a Comment