wananchi wamevunja mkutano na kusema kwamba atutaki maneno yenu hapa sisi tunataka maji tu
baadhi ya watu walishangazwa kwani kabla ya Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika kupanda jukwaani hali ilikuwa shwari kabisa lakini baada ya kuanza kuzungumza tu ndio kelele zipoanza na kupelekea mkutano uo kuvunjwa
wakazi wa jimbo la Ubungo walijitokeza kwa wingi sana kuja kusikiliza lakini ghafla likajitokeza kundi na kupinga kauli zao hasa pale Mh Mnyika aliposema kuwa leo wananhi tupo hapa na waziri mwenye dhamana ya maji kwaiyo tutapatiwa utatuzi wa tatizo ili la maji ndipo wananchi walipoanza kupinga na kusema atutaki maneno yenu sisi tunataka maji
Waziri nae alipo simama na kuwataka wananchi kutulia apo ndio vurugu zikazidi kiasi cha kupelekea mkutano kughailishwa kabisa na baadhi ya wafuasi wa Chadema wasilikika wakisema kuwa atutaki maneno yenu tunataka Maji
PICHANI NI SEHEMU YA MSAFARA UWO UKIWA UNATOKA UWANJANI APO
0 comments:
Post a Comment