Tuesday, 29 July 2014

WASANII WALIANZA KUPANDA JUKWAANI RASMI SAA 4
KAMA KAWAIDA YAO WALIANZA TARATIBU 
 SAUTI YA RADI AKIFANYA YAKE
ALIPOKUJA KUPANDA CHAZZ BABA WATU KWENYE VITI WAKAINUKA 
 CHAZ BABA AKIKAMUA VIBAYA SANA
CHAZIBABA AKIENDELEA KUCHEZA NA MAIKI JUKWAANI
WACHEZA SHOO KAMA KAWAIDA NAO FULU KUPAGAWISHA
HAPO KITU NGOMA INOGILE  YANI WANA MTWARA WAMEFAIDIKA SIKUU YA LEO
 CHAZ BABA NA SAUTI YA RADI KWA PAMOJA
IKI KIATU KINANISUMBUA MZIKI MTAMU NA HUU USIKU 
SEREBUKA VILIVYO NI UTAMU WA MASHUJAA BENDI

shoo inafanyika usiku huu hapa mjini mtwara kwenye Ukumbi wa Likonde Bichi
watu wamejitokeza kwa wingi wakifanya mambo yao

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS