MRS DIAMOND WEMA SEPETU AKIWAKILISHA VILIVYO
KILA SHABIKI ALIKUWA NA MANENO YA KUSEMA NA KUMWACHA DIAMOND MDOMO WAZI KWANI AKUJUA AMSIKILIZE YUPI NA AMJIBU YUPI
MLINZI WA DIAMOND ALIKUWA NA KAZI NGUMU SANA YA KUMLINDA
DIAMOND PLATNUMZ A.K.A CHIBU DANGOTE
WAANDISHI WA HABARI NAO AWAKUWA NYUMA
MABANGO MBALI MBALI YALIOBEBA UJUMBE MBALI MBALI
Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo
kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan,na
jana ndiyo siku niliyorudi,kiukweli sikutegemea kukutna na
nilichokikuta,umati mkubwa wa watu wakliokuwa wamejitokeza
kunipokea,kiukweli imenipa faraja sana ,kuona ji kias gani Watanzania
wenzangu ,wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki,nawashukuru wote
walioacha kazi zao,ama kuvunja ratiba zao,na kuja airport
kunipokea,Ahsanteni na ninawapenda daima (kauli ya Diamond Platnumz) picha zote kwa isani ya WCB
0 comments:
Post a Comment