Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ghala la Mahindi mjini Songea leo wakati wa mwanzo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo alizindua rasmi ghala hilo.Kulia ni Mkurugenzi mkuu wa wakala wa hifadhi ya taifa ya Chakula Bwana Charles Walwa.Rais Kikwete amewasii Mkoani Ruvuma julai 17,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa nyumba zilizojengwa kwa gharama nafuu na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Mkuzo wilayani Songea mjini Mkoani Ruvuma Julai 17,2014 .Kushoto ni kaimu Mkurugenzi wa NHC Bwana David Misonge Shambwe na wwapili kushoto ni Waziri wa Ardhi Nyumba na makazi Prof.Anna Tibaijuka
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma Julai 17,2014. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bwana David Misonge Shambwe, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu
All information and images are in support of the White House United Republic of Tanzania
0 comments:
Post a Comment