ndege iyo ya Malaysia
Hasira na ghadhabu zimeendelea kutanda kote ulimweguni baada ya ndege ya
abiria ya Shirika la Ndege la Malaysia kudunguliwa katika anga ya
mashariki mwa Ukraine, ikiwa na abiria karibu 300. Maswali mengi
yameendelea kuulizwa juu ya nani aliyefanya hujuma hiyo ya kusikitisha,
wananchi wakilia kwa uchungu sana baada ya kuwapoteza ndugu zao
Rais wa Urusi Vladimir Putin
0 comments:
Post a Comment