MAUAJI YA KINYAMA YA MWALIMU YATOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO MBONDE:
Mauaji mengine ya mwalimu wa shule ya msingi mbonde Halmashauri ya mji Masasi mkoani mtwara JOSEPH JEROME RASHIDI Maarufu JJR
WANAFUNZI WA SHULE ALIYOKUWA AKIIFUNDISHA WANAFUNZI WAKIWA KWENYEMauaji mengine ya mwalimu wa shule ya msingi mbonde Halmashauri ya mji Masasi mkoani mtwara JOSEPH JEROME RASHIDI Maarufu JJR
MSHANGAO KWANI SHUGHULI ZA MASOMO ZIMESIMAMA KUSIMAMIA TARATIBU ZA MAZISHI
alikuwa na umri wa miaka 56 yametokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake wakati marehemu akiwa ndani ya nyumba yake amejipumzisha .
Marehemu ameuawa nje ya nyumba yake (UANI) kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kunyongwa shingo hadi kufa.
Mpaka sasa hakuna anayeshikilwa na jeshi la polisi kuhusika na tukio hilo.
taarifa zote na picha ni kwa msaada wa Cralence Chilumba toka Masasi TV
0 comments:
Post a Comment