Mawaziri wa afya wa nchi 11 za Afrika Magharibi na wataalam wa kimataifa
wanatathmini leo na kesho kuanzisha mpango maalum wa kukabiliana na
ugonjwa hatari wa homa ya Ebola. Kulingana na takwimu za shirika la afya
duniani watu 759 wameathirika kutokana na ugonjwa huo na wengine 467
wamekufa katika nchi 3 ambazo ni Sierre Leone, Guinea na Liberia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment