mkazi uyo ambae jina alikuapatikana mala moja baadhi ya majirani wamesema kuwa kijana uyu alipata hataji ya kugongwa na pikipiki na kuvunjika mguu wake wa kulia ambao ndio unamtatiza na kufanya ashindwe kulipa kodi kwa wakati
Mpangaji mwenzie alisikika akisema uyu mama hana ubinadamu kwani kijana uyu sio msumbufu kwenye kulipa kodi kwani tatizo la uumia mguu ndio sababu kubwa kwani adi sasa ni miezi minne (4) imepita
kwa sasa amewekwa vyuma mguuni na alirudisha hapa nyumbani kujiangalizia lakini hali iliendelea kuwa mbaya kwani kila kitu ilikuwa inamlazimu akajitafutie binafsi nilikuwa najitahidi kumsaidia maji ya kuoga kunywa hata kufua nguo zake lakini nilishindwa kutokana na shughuli zangu
uyu kijana hana mke na mala zote amekuwa yeye peke yake nahisi hata ndugu wa karibu hana

0 comments:
Post a Comment