AFANDE AKISHIKA MWAVURI KWA UMAKINI KABISA KIONGOZI WAKE ASILOE NA MVUA
MVUA IKIWA INAYESHA ALIENDELA KUFANYA MIKUTANO
NA ALIMALIZA KWA KUTOA SHUKRANI IZI HAPA :
Asanteni
Sana Wanamwanza na Watanzania Wote Kwa Mkutano Mzuri na Mkubwa sana.Pia
asanteni vyombo vya Habari Kwa Ushirikiano wenu.
Mabadiriko ni Vitendo.
Mabadiriko ni Vitendo.
0 comments:
Post a Comment