Mamlaka ya mawasiliano Tanzania kanda ya mashariki - TCRA - imetangaza kuzima mitambo ya kurushia matangazo ya televisheni ya analog na kuingia katika digital saa 6 usiku wa tarehe 30 mwezi huu mkoani Morogoro
zamu kwa wakazi wa moro kuikosa analogia
0 comments:
Post a Comment