Monday, 9 June 2014

TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA YAPOKELEWACHINI YA ULINZI MKALI BRAZIL;
Timu ya Taifa ya Uingereza imekuwa moja ya Timu zilizopokelewa kwa U;inzi Mkali chini ya Askari wenye silaha za Moto wapatao 40, huku wakiwa wamejipanga kukabiliana na waandamanaji wakati Timu ya Taifa ya Uingereza ilipowasili katika hoteli ya Royal Tulip wilaya ya Sao Conrado jijini Rio de Janeiro.
Kumbuka kuwa Fainali za Kombe la Dunia zitaanza kutimua vumbi Rasmi Nchini Brazil kuanzia Alhamisi hii ya Tarehe 12 hadi July 13, 2014.

mbfm


0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS