Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na kuenea kwa ukame na
majangwa ulimwenguni, ambayo yamekuwa yakiongezeka na kuvuruga shughuli
za kuichumi na za kijamii katika maeneo mbali mbali ulimwenguni.
Matatizo hayo yapo hapa kwetu Tanzania na katika kanda ya Afrika mashariki
kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment