kijana alipata feza za ulithi walizouza kiwanja maeneo ya kimara matangini
na katika mgao wa fedha alizo pata ndipo akaamua kununua
kiwanja apo watu walimsifu kwani hata ndugu zake nao walinunua viwanja
na kujenga nyumba adi leo
lakini yeye aliamua kuto jenga na kununua magari pesa iliyobaki
kama ujuavyo mtumia vilevi ni wachache wanaodumu kwenye biashara
atimae jamaa
mambo yalianza kwenda kombo akaanza kuuza gari moja adi lingine
baada ya kumaliza magari yote akauza na kile kiwanja
ela zote kupigia gozo ndipo alipoamua kurudi barabarani
kugonga debe
0 comments:
Post a Comment