Sunday, 8 June 2014

Photo: by @diamondplatnumz "Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema.... Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii
ameendelea kuwa na recod mzuri kwa tasnia ya muziki tanzania

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS