Mchungaji Carl Lentz Amemsaidia Mwanamuziki Justin Bieber kufuta
dhambi zake zote na kuzaliwa mara ya Pili kwa kubatizwa na kujiunga
rasmi na imani ya kikristo. Ubatizo ambao umefanyika bafuni kwa rafiki
yake.
Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 20 amechukua uamuzi huo iki ni wiki siku chache zimepita tangu zivuje video zinazomuonesha akifanya utani wa kiubaguzi wa rangi alipokuwa na umri wa miaka 15.

Mchungaji Carl Lentz aliyembatiza Justin Bieber ameiambia TMZ kuwa
alitumia wiki moja kufanya mafundisho ya kina ya biblia na Justin Bieber
mwezi uliopita kabla video za kibaguzi hazijavuja, na ilikuwa ni siku
chache kabla hajafuatwa na mtu aliyetaka ampe dola milioni moja ili
asizitoe video hizo.
Ameeleza kuwa Justin Bieber amekuwa akisoma Biblia mara kwa mara na kuhudhuria mafundisho ya dini lakini alikuwa hajapata kanisa ambalo angeweza kubatizwa bila kuingiliwa hivyo aliamua kuchagua kufanya ubatizo huo ndani ya bafu la rafiki yake(ndani ya bathtub) ili kuweka usiri.

0 comments:
Post a Comment