Thursday, 12 June 2014

MAMA ALIYEGONGWA NA GARI
 
MADEREVA WA BODA BODA WAKIWA WAMEMBANA DEREVA
ALIYEMGONGA UYU MAMA NA KUAMUA KUKIMBIA
LAKINI KWA USHIRIKIANO WA MADEREVA BODA BODA
ATIMAE WALIMKAMATA
 KIJANA MWENYE BAASHA NDIYE DEREVA WA GARI ALIYEMGONGA MAMA
MTU MZIMA KISHA KUMKIMBIA
GARI ILIYOMGONGA MAMA MTU MZIMA IKIWA KWENYE ULINZI

kijana akiwa anatoka maeneno ya mbezi kuelekea ubungo
alimgonga mama uyo maeneo ya kimara mwisho,
baada ya kuona amemgonga ndipo alipoingia mtaani kwa lengo la kumkwepa kumsaidia yule mama
ndipo alipoelekea barabara ya jeshini kimara matangini
ambako njia aliyokuwa anaenda nayo ilikuwa aitoki kwani ye ni mgeni kwenye njia ile na akujua 
kama mbele aitoki ndipo madereva wa boda boda walipo mkamata na kumpeleka 
kituo cha polisi kimara mwisho


0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS