GARI AIJNA YA NOA AMBAYO NDIO CHANZA CHA AJALI HII
SEHEMU YA BIDHAA AMBAZO ZILIBEBWA KWENYE BAJAJI HII
BAJAJI IKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA SANA
mashuhuda wa ajali hii wamelaani uzembe wa dereva wa gari aina ya noa ambaye alikuwa anatoka paking na kuingia barabarani
akiwa anatokea akafunga breki kuipisha bajaji wakati bajaji ikiwa inaelekea kupita
noah nayo ikaanza safari dereva bajaji alipojaribu kumkwepa ndipo akaenda kuigonga noa kwa
nyuma na kupelekea bajaji iyo kupoteza mwelekeo na kufikia hatua ya kupinduka na kugeukia ilikotoka
adi ripota wetu anaenda mitambona dereva wa noa ajaongea chochote
0 comments:
Post a Comment