KIJANA MWENYE T-SHIT YA BLUU NDIYO ALIYEMFUMA MWIZI UYU NA KISHA KUWA NA MAPAMBANO MAKALI SANA
MWIZI AKIENDELEA KUSACHIA MFUKONI NDIPO WALIPOKUTA VIWEMBE
MMOJA WA VIJANA WA KWENYE NYUMBA ALIKUTWA UYO
MWIZI AMEJERUHIWA VIBAYA MKONO WA KULIA
BAADA YA KUDAKA KISU KILICHOTAKA KUCHOMWA NA UYO MWIZI
MOJA YA SILAHA ALIZOKUTWA NAZO
mwaizi uyu anatembea na silaa zikiwemo kisu, bisibisi, plaizi, kipande cha nondo
nyundo, spoku ya baiskeli na viwembe
mwaizi uyu kila alipotakiwa kutaja jina lake ameshindwa kabisa kuongea
kwani amepigwa vibaya sana
KIJANA ASEMA IMEKUWA KAWAIDA KUIBIWA VITU SANA HAPA KWETU
NA HATUJUI WANANINGILIA WAPI IKIWA KUNA FENSI
WANAKATA NYAVU ZA MADIRISHA MALA KWA MALA














0 comments:
Post a Comment