
Mh Zitto Kabwe
Umoja wa kamati za Mahesabu ya Serikali ya nchi za SADC
(S A D C O P A C)
umemchagua Mh Zitto Kabwe kuwa katibu mkuu wa umoja wa kamati
za Mahesabu za Nchi za Afrika
( A F R O P A C )
kuziba nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Msumbiji

Mh Zitto Kabwe bungeni
0 comments:
Post a Comment