wakazi wa Lindi na Mtwara wamepata neema ya bei ya ufuta
mwaka uu kwani
bei ya kwanza ni sh 3000 @ kg
mmoja wa wakulima wa ufuta kijiji cha Chipite akiongea leo
na millanzy blog amefurahishwa na bei iyo
na kusema hofu ni kuusu watu kuibiwa
ukiwa bado aujakauka
kati ya tabia ambayo baadhi ya vijana wasio penda kujishuhulisha wo upenda kuwaibia watu mazao shambao zaidi ni ile mida ya usiku
0 comments:
Post a Comment