Mahakama kuu nchini Malawi imeamuru tume ya uchaguzi nchini humo
kuendela kuhesabu kura na kupuuza maagizo ya rais wa sasa Joyce Banda ya
kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanywa mapema juma
lililopita.
Mahakama inasema Banda hanauwezo wa kuamrisha matokeo hayo yapuuzwe.
0 comments:
Post a Comment