
akisaidiwa mchoraji wa picha izi atafika mbali sana kisanaa
na kimaisha na kwa sasa bado yupo darasa la 5 shule ya msingi mkwera

ndege wanavutila kiukweli
NI KATI YA PICHA ZINAZOCHORWA NA MWANAFUNZI
WA SHULE YA MSINGI MKWERA
ILIYOKO MKOANI MTWARA WILAYA YA MASASI KATA YA NANGANGA
na mpiga picha wetu
0 comments:
Post a Comment