ya jangwani si wale wenye maeneno haya
ukweli ni kwamba wahusika walishahama siku nyingi sana
na wanaoendelea kuishi apa ni wale wanaojihusisha na uporaji na kujificha apa
kwa hali ya kawaida uwezi kuishi sehemu yenye kujaa maji mala kwa mala
kwa mtazamo wako wewe unaweza kuhishi hapa
hapa ni sehemu ya daraja la jangwani jiji Dar Es -salaam
na lipota wetu
0 comments:
Post a Comment